Meneja wa NMB Kanda ya Kusini Janeth Shango akiongea na wafanya biashara Soko la Samaki mfaranyaki akiwapa Elimu kuhusu kujiunga na huduma mpya ya Umebima ambayo imelenga kutoa elimu ya uwekezaji wa bima na umuhimu wake katika jamii ambapo kampeni hiyo ya Umebima imezinduliwa Februari 20, 2023 katika Tawi la NMB Songea mkoani Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.