SERIKALI kupitia mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya uboreshaji wa Bandari ya Ndumbi ikuhusisha ujenzi wa gati, ramp, sakafu ngumu shedi la kuhifadhia mizigo sehemu ya kusubiria abiria , ofisi na nyumba ya mfanyakazi
Aidha ujenzi huu umekamilika na umegharimu jumla ya shilingi Bilioni 12.28
Katika mpango wa mkakati wa mamlaka ya Bandari katika bandari ya Ziwa nyasa imepanga kuboresha bandari za Itungi, Kiwira, Matame, Lipungu, Manda, Liuli na Mbamba Bay
Pia katika utekelezaji wa hili mamlaka imeanza na upembuzi yakinifu ili kujua ni miundombinu gani itahitajika katika bandari hizi ambapo taarifa ya mwisho itawasilishwa mwezi februari mwaka huu 2023
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.