CHUO cha ufundi cha TOPONE VTC kilichopo Msamala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kimefankiwa kutengeneza kifaa salama ambacho kinaweza kusaidia kujikinga dhidi ya virusi hatari vya corona.Mwalimu wa somo la umeme katika chuo hicho David Shija amesema kifaa hicho ambacho kinaitwa Automatic Wash Hand device kinafaa kwa matumizi yenye msongamano mkubwa wa watu kaka kwenye taasisi za umeme,binafsi,kanisani,misikitini,vituo vya mabasi,kwenye minada,sokoni na maeneo mengine ya umma.Amesema kifaa hicho kinatumia umeme wa gridi au umeme wa jua na kina faa hasa katika kipindi hiki ambacho kuna m;lipuko mkubwa wa virusi vya corona .TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=-j3BnRSdroU&t=2s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.