MKUU wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Julius Mtatiro amesema sasa magari yanayotumia daraja kubwa la Muhuwesi linalounganisha Mkoa wa Ruvuma na Mtwara yanapita ambapo awali serikali ilizuia magari kupita kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kujaza mto Muhuwesi hadi juu ya daraja hivyo kutaharisha usalama wa watu na vyombo vya usafiri vinavyotumia daraja hilo muhimu kwa mikoa ya kusini
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.