Pichani wa pili kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama kukagua urejeshaji wa daraja la Muhuwesi Wilaya ya Tunduru ambalo lilipata hitilafu kutokana na mvua.Serikali imetoa shilingi bilioni 1.55 kulirejesha daraja hilo sehemu yake.Kazi ya urejeshaji daraja hilo imesimamiwa na TANROADS kwa kutumia Mkandarasi Mzawa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.