DARAJA la Mto Ruhuhu linaunganisha Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni nane kujenga daraja hili lenye urefu wa mita 98 .Kabla ya serikali kujenga daraja hili wananchi walikuwa na changamoto kubwa ya kuvuka Mto Ruhuhu kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine hali iliyosababisha baadhi ya wananchi kupoteza maisha wakati wanavuka Mto Ruhuhu kwa kutumia mitumbwi.Mto Ruhuhu unamwaga maji yake katika ziwa Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.