Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Julius Mtatiro amewataka wazazi Wilaya umo kuhakikisha wanawapeleka watoto ambao wanavigezo vya kuanza masomo kuandikishwa ifikapo hadi januari, 2024 wawe wamesharipoti shuleni ili kuwaanda katika kujenga maisha yao na taifa kwa ujumla.
Pia ameeleza juhudi za Serikali katika uboreshaji elimu kwa kuwajenga Shule mpya na kuongeza madarasa nchi nzima lengo likiwa ni kutatua changamoto ya watoto kutembea umbali mrefu kufuata elimu pamoja na kuondoa msongamano wa wanafunzi darasani
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.