Mkuu wa Wilaya ya Songea, Ndugu Wilman Kapenjama Ndile amekula kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas leo Jnaurai 31, 2023.
DC Ndile aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt, Samia Suluhu Hassani kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Januari 25, 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.