HALMASHAURI ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma wamefanya Kikao kazi cha robo ya Pili Oktoba hadi Desemba 2023 cha kujadili shughuli za miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa.
Akizungumza kwenye kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed amewataka Watendaji Kata na Vijiji kuendelea kusimamia ukusanyaji wa Mapato pamoja na kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo inayoletwa katika Halmashauri hiyo ili iweze kukamilika kwa wakati na kuanza kutumika kwa wananchi
Naye Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mheshimiwa Teofanes Mlelwa ametoa rai kwa watendaji hao kuhakikisha yote yaliyojadiliwa ndani ya kikao hichoyanatekelezwe ikiwa ni pamoja kuhakikisha fedha za miradi zinazotolewa kupitia mfuko wa Jimbo zinafanyiwa kazi mara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.