• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

DED Songea awakumbusha wazazi kuwaandikisha watoto wao

Imewekwa kuanzia tarehe: October 30th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Neema  Maghembe anawakumbusha wazazi na walezi wote katika Halmashauri ya wilaya ya songea kuwa zoezi la uandikishaji wanafunzi wa darasa la awali na darasa la kwanza linaendelea katika shule zote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea

Kufuatia mkakati wa uboreshaji wa Elimu wa mwaka 2022 uliazimia watoto wa awali na darasa la kwanza waandikishwe kuanzia tarehe 1 Octoba hadi tarehe 31 Disemba na utekelezaji wake umeanza rasmi mwaka huu wa 2023 ili ifikapo januari 2024 watoto waanze masomo kwa kuingia darasani.

Akizungumzia uandikishaji huo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea amewaomba wazazi na walezi kutumia nafasi hii kwa sasa ili ifikapo Januari watoto waanze masomo na sio usajili tena. Amesema

“Kwa wazazi wote ambao wanaona kwamba watoto wao wamefikia umri wa kuanza shule basi wafike katika shule iliyopo jirani na yeye ili kumuandikisha mototo wake ambapo kwa darasa la awali umri ni miaka 5 hadi 6 na kwa darasa la kwanza umri ni miaka 7 hivyo natoa rai kwa wazazi na walezi wote muda ndio huu wa kuandikisha watoto wetu ili waanzekupata  elimu”

“Pia natoa wito kwa viongozi wa Chama na Serikali, pamoja na taasisi za dini kufikisha ujumbe huu kila sehemu ambako wanahudumia wananchi na waumini wao ili watu wote waweze kufahamu kuhusiana na taarifa hii, vilevile kwa wale wazazi na walezi ambao wanaishi na watoto wenye ulemavu wowote ule wasiwafiche watoto hao majumbani kwao, kama wamefikia umri wa kuanza shule basi wawapeleke shuleni kuwaandikisha kwani mazingira ya kuwalea yapo na yanaruhusu” Alisema Ndg Neema M Maghembe Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Uandikishaji huu ulianza rasmi tarehe 1/10/ 2023 na unatarajiwa kukamilika tarehe 31/12/2023, kaulimbiu ya uandikishaji huu ni “KILA MTOTO ANAHAKI YA KUPATA ELIMU, HAKIKISHA UNAMUANDIKISHA”.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.