Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ,Chiza Marando amewataka wanufaika wa mikopo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu kuwa waaminifu katika makubaliano waliyoweka wakati wa kuchukua mikopo hiyo.
Marando ameyasema hayo katika kikao cha pamoja na wanufaika hao, ambapo walitia saini mikataba ya makubaliano ya kuchukua mikopo hiyo.
Amesisitiza kuwa mikopo hiyo ikafanye kazi kwa ajili ya maendeleo katika Wilaya ya Tunduru na kuwataka wanufaika kuitumia mikopo kwa malengo waliyokusudia na kurejesha kwa wakati ili kutoa frsa ya kuwakopesha wengine.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.