Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa shukrani zake kwa wananchi wa Wilaya ya Songea Mjini kwa Ushirikiano waliomuonesha wakati alipokuwa Mbunge wa Jimbo hilo la Songea Mjini .Dkt Nchimbi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Songea mjini kwa kipindi cha miaka kumi.Balozi Dkt. Nchimbi amesisitiza pia viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali kuishi kwa umoja na ushirikiano ili kuchochea maendeleo ya wilaya,Mkoa na Taifa kwa Ujumla.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.