FALSAFA ya magauni manne iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katika kukabiliana na mimba za utotoni kwa wanafunzi inaendelea kusambaa huku wadau mbalimbali wakijitokeza kutoa elimu ili kuhakikisha falsafa hiyo inaelewekwa na kutekelezwa kwa wanafunzi ili kufikia ndoto za maisha yao.Soma habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=Vj_gaWb8Sck
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.