Mwambao mwa ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa kuna fukwe bora za asili ambazo zinafaa kuwekeza katika sekta ya utalii.Fukwe za mbuji na Mbaha ni miongoni mwa fukwe zinazofaa kuwekeza ,wawekezaji wa nje ya ndani ya nchi tuchangamkie fursa hiyo.
TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=nOmlZ_J7Ntk
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.