Baadhi ya wafanyakazi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wakiwa kwenye maandamano ya sherehe za wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) 2023 ambazo kimkoa zimefanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.