Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Juni 2, 2023. ametembelea na kukagua kiwanda cha kusindika vyakula, kukoboa na kusaga nafaka pamoja na kukamua mafuta ya alizeti ambacho kipo Kijiji cha Namabengo katika Wilaya ya Namtumbo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.