Katikati ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Gerson Msigwa kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Schola Njozi na kulia ni Afisa Habari Kitengo cha Mawasiliano Serkalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Albano Midelo wakiwa kwenye kikao kazi cha siku tano cha maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini ambacho kimefunguliwa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwl Nyerere jijini Dar es salaam
Wote watatu wamewahi kuwa watangazaji wa Redio Maria na TBC Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.