Wakurugenzi wa Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma wakifuatilia uwasilishaji wa mada kwenye kikao cha uzinduzi wa Mfumo wa Rufaa na usafiri wa dharura kwa wajawazito,waliojifungua na watoto wachanga (M-MAMA) kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Kikao hicho kimefunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.