Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Songea, Mhe. Japhet Manyama, amewaongoza watendaji ngazi ya mkoa kula kiapo kuelekea zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Ruvuma, zoezi hilo ambalo limewajumuisha maafisa uandikishaji, maafisa uandikishaji wasaidizi ngazi ya Jimbo, maafisa uchaguzi na maafisa TEHAMA limefanyika katika ukumbi wa Chandamali mjini Songea, wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya watendaji ngazi ya mkoa kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.