MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anasema hadi sasa mapambano dhidi ya virusi vya corona mkoani Ruvuma yanaendelea vizuri ambapo hadi sasa Mkoa upo salama .Alikuwa anazungumza na Kamati za maafa mkoa na wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=dak_IFU8ii0
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.