MKUU wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameipongeza Halmashauri ya Madaba kwa kuendelea kupata hati safi na kuwatahadharisha wasibweteke badala yake waongeze bidiii katika utendaji kazi wao ili waendelea kupata hati safi kila mwaka.Mgema ametoa pongezi hizo wakati anazungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo kilichofanyika mjini Madaba.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=2G8gvuRLonI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.