• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

HALMASHAURI ya Madaba yaingiza milioni 191 kutokana na mauzo ya mazao mnadani

Imewekwa kuanzia tarehe: November 17th, 2020

HALMASHAURI ya Wilaya ya Madaba imeingiza zaidi ya shilingi milioni 191 ya mauzo ya mazao mnadani katika msimu wa mwaka 2019/2020.

Akitoa taarifa hiyo ofisini kwake Kaimu Afisa Uhsirika wa Halmashauri hiyo Joseph Mrimi ameyataja Mazao ya yaliyouzwa kupitia vyama vya ushirika kuwa ni Korosho na Kahawa, Ufuta na Soya.

Mrimi amevitaja vyama vya Mazao vilivyojiunga na vyama vikuu vya ushirika MBIFACU,SONAMCU,TAMCU ikiwa kimoja kimejiunga na SONAMCU na vyama vitano TAMCU vyama viwili.

“Utaratibu wa mauzo unafanyika kwa mfumo wa stakabadhi  ya mazao ghalani  ambapo vyama vinakusanya mazao ya wakulima na kupeleka mnadani na mazao hayo yakiuzwa kunakuwa na makato ya kisheria”,alisema.

Kaimu Afisa Ushirika huyo amesema kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani wakulima wanapata changamoto kama upungufu wa maghala yenye sifa,ukosefu wa Elimu ya juu ya mfumo wa stakabadhi ghalani na kuchelewesha malipo ya wakulima.

 Mrimi  ameongeza kuwa AMCOS ni vyama vya msingi vya ushirika wa mazao na SACCOS ni vyama vya ushirika  vya akiba na mikopo na ametoa rai kwa wananchi kujiunga na vyama hivyo ili waweze kunufaika.

Kwa mujibu wa Mrimi, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba ina jumla ya vyama vya ushirika nane, vyama vya ushirika vya mazao(AMCOS),vitano ambavyo  ni Wino (AMCOS, TAMA,AMCOS,MbangamaweAMCOS,Madaba AMCOS, (Mbonane AMCOS) na vyama vya kuweka na kukopa (SACCOS)  vitatu ambavyo ni Wino SACCOS,Muungano Gumbiro SACCO na Mahanje SACCOS.

Hata hivyo amesema Kuna baadhi ya SACCOS hazifanyi vizuri kutokana na uongozi wa SACCOS kutokuwa waaminifu,na ukosefu wa elimu ya juu na maswala ya fedha kwa watendaji wa SACCOS.

Mrimi amesema wananchi wa Madaba wananufaika na SACCOS kwa kujiwekea akiba  na fursa ya kupata mikopo yenye  masharti nafuu kwa ajili ya kuendesha shughuli zao kupitia SACCOS.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa Habari Halmashauri ya Madaba

Novemba 16,2020.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.