Halmashauri ya Wilaya ya Songea kupitia Idara ya Mipango mji kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la Aga Teo Hope Foundation wanatekeleza mradi wa urasimishaji wa viwanja 5260 katika mji mzima wa Peramiho.
Soma makala kwa kina hapa Halmashauri ya Songea ilivyodhamiria kupima viwanja katika mji wa kihistoria wa Peramiho.pdf
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.