Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, ( Sera, Bunge na Uratibu) Mheshimiwa Jenista Mhagama amemwakilisha Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa katika Harambee ya ujenzi wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Mariamu la Lituhi Nyasa Dayosisi ya Ruvuma.
Katika Harambee hiyo jumla ya shilingi milioni 52.3 zimekusanywa ambapo hadi sasa zaidi ya shilingi milioni 84 zimetumika kujenga kanisa hilo ambalo linatarajia kutumia zaidi ya shilingi milioni 150 hadi ujenzi kukamilika.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.