SERIKALI imetoa shilingi milioni 500 zilizowezesha ujenzi wa wodi mbili za upasuaji katika hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma iliyopo kijiji cha Mpitimbi..Serikali imeendelea kutoa fedha za kuongeza majengo muhimu yanayohitajika katika hospitali hiyo ambapo hadi sasa kuna majengo 13 kati ya 24 .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.