Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo idadi ya watalii Tanzania inatarajia kuongeza hadi kufikia milioni tano ifikapo mwaka 2025.Pia amesema serikali inatarajia kupanua wigo wa vivutio vya utalii ikiwemo kuimarisha utalii wa fukwe na kuongeza kasi ya utangazaji vivutio vyetu vya utalii vilivyopo nchini.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=sDsd-awhvXg
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.