IDARA ya Ardhi Mkoa wa Ruvuma imeanza kusikiliza kero za migogoro ya ardhi na kuanza kutoa hati papo kwa papo kwa wananchi wanaokidhi vigezo .Kamishina wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Ruvuma Said Juma Kijiji amewaongoza maafisa ardhi wa Mkoa na Manispaa ya Songea katika zoezi la kusikiliza migogoro ya ardhi na kutoa Hati kwa wananchi wa Manispaa ya Songea lengo likiwa ni kupunguza na kumaliza changamoto za ardhi katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.