JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Mustapher Mohamed Siyani amezindua jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma lililogharimu shilingi milioni 723.
Hafla ya uzinduzi huo imehusisha uzinduzi wa majengo mapya ya mahakama za Wilaya za Namtumbo mkoani Ruvuma ,Nanyumbu na Tandahimba mkoani Mtwara na Ngara mkoani Kagera .
Majengo yote manne ya mahakama yamegharimu shilingi bilioni 2.9 fedha zilizotolewa na serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.