Jukwaa la mwaka la mashirika yasiyokuwa ya kiserikali Mkoa wa Ruvuma linatarajia kufanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea Agosti 28 mwaka huu.
Mgeni rasmi katika Jukwaa hilo anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Kaulimbiu katika Jukwaa la mwaka huu ni mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ni wadau muhimu, washirikishwe kuimarisha utawala bora
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.