WIlaya Nyasa mkoani Ruvuma imebarikiwa kuwa vitu adimu ambapo kahawa aina ya arabica inayolimwa katika Tarafa ya Mpepo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma imebainika ndiyo kahawa inayovutia na kunukia zaidi katika viwango vya kahawa kwenye soko la Dunia.
Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya anawaalika wageni mbalimbali kwenda kufanya utalii wa kuona kahawa hiyo inayopendwa zaidi katika soko la nje ambayo inalimwa kwenye safu za milima ya Umatengo.
Nyasa ndiyo wilaya pekee mkoani Ruvuma ambayo ardhi yake ina rutuba ya kutosha hivyo kustawisha mazao karibu yote bila kutumia mbolea ya kemikali
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.