Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stelle Manyanya akitoa salam za mkupongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa wananchi wa Ruvuma wanakuwa sehemu ya kupata huduma ya maji safi na salama
Akitoa salam hizo kwaniaba ya Mwenyekiti wa kamati ya maji na mazingira Jackson Kiswaga. katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 katika Mji wa songea, iliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mtarawe Machi 10, 2023 Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.