kamati ya mawaziri wanane wa kisekta ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Jerry Slaa ambaye pia ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasili mkoani Ruvuma kukamilisha kazi ya kushughulikia migogoro ya ardhi.
Kamati hiyo imepokewa katika kiwanja cha Ndege Songea na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.