Katikati Pichani ni Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mohamed Ally akiongoza Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma kwenye ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Hapa Kamati hiyo ilikuwa inakagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi katika kijiji cha Kilango Kata ya Mpapa ambapo serikali kupitia program ya BOOST imetoa shilingi milioni 331 kujenga shule hiyo .
Utekelezaji wa mradi huo hadi sasa umefikia asilimia 90 na shule inatarajia kuanza kuchukua wanafunzi Januari 2024.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.