Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imekagua mradi wa ukarabati wa hospitali ya Wilaya ya Tunduru unaogharimu shilingi milioni 900 na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo unaolingana na thamani ya fedha zilizotumika.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.