NAIBU Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema Mkoa wa Ruvuma unaongoza kwa matumizi ya mbolea nchini ambapo jumla ya tani 113,000 za mbolea ya ruzuku zimetumika.
Kapinga amesema hayo wakati anazungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni ya matumizi sahihi ya mbolea iliyofanyika kwenye ukumbi wa Pacific One mjini Mbinga.
Kwa upande wake Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Jumanne Mwankhoo amesema ongezeko kubwa la matumizi ya mbolea kwa wakulima limetokana na usimamizi mzuri wa mfumo wa mbolea ya ruzuku na maelekezo mbalimbali yaliyotolewa na wataalam wa kilimo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.