Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Uhalifu Mitandaoni wametoa mafunzo ya sheria ya makosa ya mtandaoni ya mwaka 2015 watu wenye ulemavu mkoani Ruvuma. Mratibu wa Polisi na Mkuu wa Kitengo cha Uhalifu wa Mtandao Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Joshua Mwangasa anatoa mada ya sheria ya makosa ya mtandao kwa wenye ulemavu mkoani Ruvuma.
TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=vgSr8bge16w&t=63s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.