KAMPENI YA UPANDAJI MITI MKOANI RUVUMA
Januari Mosi mwaka huu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas alizindua kampeni ya upandaji katika Mkoa mzima
Viongozi katika kila wilaya wamekuwa mstari wa mbele kuhamasisha upandaji miti msimu huu wa mvua.
Pichani ni viongozi wa serikali na Chama Tawala Wilaya ya Nyasa wakipanda mti katika kijiji cha Kingerekiti.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.