Katikati mwenye kofia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya wa kwanza kulia,kabla ya kufanya zoezi la upandaji miti ya matunda kwenye viwanja vya sekondari ya DKT Samia Suluhu Hassan ambayo ni sekondari mpya ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma iliyojengwa wilayani Namtumbo.Jumla ya miti ya matunda 378 imepandwa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.