KAMPUNI ya Kinasoru East Africa (T) Ltd imevunja rekodi kwenye mnada wa ununuzi wa zao la ufuta katika kata ya Lisimonji Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma baada kununua kilo moja ya ufuta kwa shilingi 4105 hivyo kuongoza na kuzishinda Kampuni 17 zilizokuwa zinashindana kwenye mnada huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Amani Ng’oma amesema Kampuni hiyo imedhamiria kuhakikisha wananunua ufuta kwa bei ya juu ili kuwawezesha wakulima mkoani Ruvuma kuuza mazao yao kwa tija hivyo kunufaika katika kilimo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.