Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akipanda miti aina ya mparachichi kwenye shule mpya ya sekondari mpya ya Lilondo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mabada ambapo serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 560 kujenga shule hiyo
Kanali Thomasi amewagiza wakuu wa shule za msingi na sekondari kutumia kipindi hiki cha mvua kupanda miti ya matunda kwa wingi ili kuongeza ulaji wa matunda kwa wanafunzi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.