MKOA wa Ruvuma umebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii wa kihistoria na kiutamaduni katika wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.Moja ya vivutio hivyo vinapatikana mwambao mwa ziwa Nyasa.Kanisa kongwe la Lituhi ni moja ya vivutio vinavyovutia wengi.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=ZHHBrydwMuE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.