Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 12 kutekeleza mradi mkubwa wa bandari ya kimkakati ya Ndumbi katika ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Jackson Kiswaga imetembelea bandari hiyo na kukagua mradi wa utunzaji wa mazingira wa Ziwa Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.