Katibu Tawala wa Mkoa w Ruvuma Rehema Madenge amewashukuru watawa wa Shirika la Mtakatifu Agnes Chipole Jimbo Kuu Katoliki la Songea kwa kufanya kazi ngumu ya kuwalea watoto yatima 74 kwenye kituo hicho.
Madenge ametoa pongezi hizo wakati anazungumza baada ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed kutoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi laki nane pamoja na fedha taslimu shilingi 690,000 kwa ajili ya watoto hao lengo likiwa ni kuwafariji na kuwatia moyo watawa hao kutokana na kazi ngumu ambayo wanaifanya ya kuwalea waoto kwenye kituo hicho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.