Baadhi ya wanawake kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wakikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula kwa watoto 69 wenye ulemavu katika shule ya msingi Luhira Manispaa ya Songea,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya wanawake Duniani ambayo kilele chake ni Machi nane, mwaka huu katika Mkoa wa Ruvuma maadhimisho hayo yatafanyike Machio nane wilayani Nyasa ,mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.