Kitongoji cha Darpori kilichopo katika kijiji cha Lunyere kata ya Mpepo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kina makabila karibu yote ya Tanzania.Mwenyekiti mstaafu wa kijiji cha Lunyere ambaye ni Mgombea udiwani kata ya Mpepo Underson Haule anasema kijiji hicho chenye utajiri wa madini ya dhahabu ambacho kipo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kina wakazi zaidi ya 15,000 yakiwemo makabila yote ya Tanzania na watu kutoka nchi jirani.Kitongoji cha Darpori kilianzishwa mwaka 2004.
Tazama habari za https://www.youtube.com/watch?v=JkLw2xJrLf0&t=8s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.