Katikati pichani ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma Mheshimiwa Teofanes Mlelwa akizungumza wakati anafungua kikao cha Baraza la Madiwani cha kujadili taarifa za robo ya kwanza ya Julai hadi Septemba 2023.
Wa mwisho kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba Ndugu Sajidu Idrisa Mohamed na wengine picha ya chini ni baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Madaba
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.