Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kimekutana na kufanya kikao kazi cha tathmini ya utendaji kazi na maafisa Habari kutoka vitengo vya mawasiliano serikalini katika Halmashauri zote nane mkoani Ruvuma
Kikao hicho kimeongozwa na Afisa habari wa Mkoa wa Ruvuma Albano Midelo, mapema hii leo tarehe 21/01/2023 kwenye ukumbi wa Mipango ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.