Wataalam wa Maliasili na Utalii kutoka mkoani Ruvuma wanaendelea kutoa taarifa za fursa za uwekezaji na vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Ruvuma kwenye maonesho ya Utalii Karibu Kusini mjini Iringa.
Maonesho hayo ya yanayoshirikisha mikoa kumi nchini yamefanyika kuanzia September 23 hadi 27 mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.