Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja akiweka Shada la Maua katika kaburi la pamoja la mashujaa wa vita vya majimaji leo Februari 27, 2023 kwenye siku ya kilele cha sherehe ya kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji iliyofanyika katika makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mjini Songea Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.