Pichani ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Bw. Ismail Ali Ussi, akipanda mti katika Shule ya Msingi Matomondo, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.
Zoezi hilo ni sehemu ya kuhamasisha uhifadhi wa mazingira, likilenga kuhamasisha jamii kupanda miti ili kulinda mazingira na kupunguza athari za ukataji wa miti hovyo.
Kupitia jitihada hizo, Mwenge wa Uhuru unasihi wananchi kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira, kwani ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha ardhi inabaki kuwa rafiki kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.